data:post.body SABABU 3 ZINAZOONYESHA KWAMBA WATOTO WOTE WA KIUME WALIKUA WA KIKE KWANZA TUMBONI. ~ SIRI ZA AFYA BORA...

Recent Posts

SABABU 3 ZINAZOONYESHA KWAMBA WATOTO WOTE WA KIUME WALIKUA WA KIKE KWANZA TUMBONI.

 Wakati mwingine ukweli ni mchungu lakini hakuna uchungu kamtania mwanaume kuhusu jinsia yake  lakini ukweli utabaki kwamba kila binadamu tumboni huanza kama mwanamke. Mtoto wa kiume akiwa tumboni kwa mama yake kabla ya wiki ya saba anakua ashaanza kupata maumbile ya kike, hivyo ni homoni za kiume ambazo zikiingilia kati zinamfanya abadilike kua wa kiume lakini kama homoni za kiume zisipoingilia kati basi anaendelea na kuzaliwa kama mtoto wa kike.Kwa lugha nyepesi ni kwamba wanaume wote waliwahi kua wanawake hapo zamani na bila homoni ya testosterone wangeendeelea kua wanawake na kuzaliwa na jinsia hiyo. Na ufuatao ni ushahidi kwamba wanaume wote hao walikua wakike mwanzoni.


Matiti kifuani; Matiti yanatengenezwa mapema sana kipindi cha ukuaji wa mtoto tumboni lakini kwa wanaume ni kama mapambo tu kwani hayana kazi yeyeyote. Hivyo kwa matiti ambayo wanaume wanayo kama wangepitiwa na homoni za kike sasa hivi wangekua wanatoa maziwa mengi tu na konyonyesha kama wanawake.

Uume; wakati wa ukuaji tumboni, homoni mbili yaani Mullerian inhibiting substance na dihydrosterone hutengenezwa kwa wanaume na kuleta uume lakini bila homoni ile uume huo ungebaki kama kinembe tu cha kwenye mwili wa mwanamke.

mstari wa kutoka kwenye korodani kwenda kwenye njia ya haja kubwa; Mstari huu kitaalamu uniatwa raphae line, kipindi cha ukuaji tumboni kila mtu ana uwazi sehemu ya viungo vya uzazi na bila homoni za kiume uwazi ule hutengeneza uke na viungo vya uzazi vya mwanamke lakini homoni za kiume hufanya ile sehemu kufunga na kuacha mstari kama kovu ambao ni kumbukumbu kwako kwamba ulitaka kua mwanamke kipindi fulani.


                                                                STAY ALIVE 

                                      DR.KALEGAMYE HINYUYE MLONDO

                                                        0769846183/0653095635      

Maoni 4 :

 1. Dahhh iyo kitu hamna coz mungu kaumba mwanamme kwanza ikiwa hormones ya kiume ipo juuu mean kilakitu kinatengenezwa kulingana na mwanamme na sio kwamba ati mwanamme alitakiwa kuwa mwanamke noooo jinsia haitengenezwi before hormones ktk body so hormones washaekwa spacial ni wakike na anaetengeneza sio mama mjamzito nooo ni mungu. That is all

  JibuFuta
 2. Kwanini kabla ya kutengenezwa jinsia mwanamme haja wekewa uterus it mean alitarajiwa ni mwanamme. So acha hizi kauli kabisa. Man kuambiwa na kibofu tu and girl ametengenezwa uterus befor virgin bro.

  JibuFuta
 3. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
  *penda uchawi
  * kama unataka ex wako nyuma
  * Acha talaka
  *kuvunja mawazo
  * huponya viharusi na magonjwa yote
  * uchawi wa ulinzi
  *Ugumba na matatizo ya ujauzito
  Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
  Whatsapp: +2349046229159

  JibuFuta
 4. Are you in love with someone and he/she doesn't reciprocate the gesture, frustrated because of a Break -up then you can use this to attract that lover back into your life. It brings back your ex, and help solve broken marriages. was lucky enough to get my husband back , Doctor Robbinson Spells are authentic, My Husband left me for 8 months we have settled and we are happy family again, Life is too short to be unhappy. Think about that. You deserve utmost happiness and love

  WhatsApp: +12267705795
  Email: Drrobbinssonspiritualhome@gmail.com

  JibuFuta