Usaliti sio kitu kigeni kwenye dunia ya mahusiano, tafiti zinaonyesha kati ya watu wanne waliko kwenye mahusiano basi mmoja wao anamsaliti mwenzake.
unaweza kuona jinsi gani tatizo la usaliti ni kubwa sana kiasi kwamba linaweza kuhatarisha mahusiano mengi.
swala la kiafya ni muhimu zaidi kuliko kuharibika kwa mahusiano kwani magonjwa mengi ya kuambukizwa kama ukimwi hupata upenyo sehemu kama hizi.
makala ya leo ntazungumzia dalili za wanawake wanaosaliti kwani zinakua tofauti kidogo na zile za wanaume lakini pia makala ijayo ntazungumzia upande wa wanaume.
Asilimia kubwa ya wanawake husaliti wenza wao kwenda kutafuta mapenzi ndio maana usaliti ukishaanza kutoka kwa mwanamke basi mahusiano hayo huenda yamefika mwisho lakini pia baadhi ya wanawake wachache husaliti kwa sababu za kuongeza kipato, ndio maana utakuta mwanamke anajiuza lakini kuna mtu anampenda sana. japokua kila siku anabadilisha wanaume.
zipo sababu zingine nyingi lakini ntaziongelea makala zijazo.
sasa kama uko kwenye mahusiano na mwanamke muda mrefu au hata muda mfupi na dalili hizi zikaanza kujitokeza basi ujue mtu huyo anakusaliti, anaweza asionyeshe zote lakini kama unaziona kua makini.
Anaficha simu yake; mwanamke anayekusaliti mara nyingi akija kwako kwanza atakua hapendi kukaa sehemu ambayo wewe unaona kioo cha simu yake akiwa anachati, pili simu yake mara nyingi itakua haina sauti na baadhi ya simu atakua hazipokei kwa madai kwamba watu wanamsumbua.
lakini kitu cha msingi kabisa hata ukitishia kuchukua simu yake atabadilika sana na huenda akakuzuia hata kama unataka kupiga simu kutumia simu yake.
kipindi hiki kutakua kuna namba moja ambayo anawasialiana nayo sana lakini kwa siri sana kwani anashindwa kuchati kwa uhuru mbele yako.
muda mwingi watu hawa watakwambia kwamba kila mtu asishike simu ya mwenzake lakini hizo ni sababu za kujilinda, wapenzi wa kweli hawafichani chochote kile.
anajishtukia sana; kwa hali ya kawaida ukimpigia simu mtu ukamuuliza yuko wapi atakupa jibu rahisi sana kwamba niko sehemu fulani lakini mwanamke msaliti hawez kujibu swali hilo kirahisi, ataanza kukuuliza kwanini unamuuliza hilo swali? kwani kuna nini?
lakini pia atakua anakwepa maswali yeyote kutoka kwako ili asiweze kujichanganya kwenye maelezo yake.
huenda anahisi umemona sehemu ambayo sio kawaida au umeambiwa kitu wakati wewe hujui lolote.
hataki tena mahaba na wewe; mwanamke huyu ataanza kukupa sababu mbalimbali za kutoshiriki tendo la ndoa na wewe, kumkumbatia au kumbusu.
anaweza kuanza kua bize sana, kusingizia uchovu sana au kujifanya mgonjwa au kutokua na hamu kabisa ya tendo la ndoa wakati wewe unafahamu kwamba ni mtu ambaye kwa miaka yote alikua ni mpenzi wa hivyo vitu lakini leo ghafla havitaki tena.
wakati mwingine unaweza kushiriki naye tendo la ndoa lakini hatakua pale kihisia na mwisho wa siku itaonekana humridhishi.
kumbuka yule anayekusaliti kwa mambo ya pesa sehemu hii ya mahaba inaweza isibadilike kabisa.
ratiba za siri; mtu ambaye ulikua unajua ratiba zake vizuri kwa muda mrefu lakini siku hizi anaanzisha safari ambazo hazikuwepo, anafanya mambo ya siri sana ambayo wewe mwenyewe kama mpenzi wake unajua alitakiwa akushirikishe.
wanawake ni watu ambao wanapenda sana kuwahusisha wanaume wao na mambo wanayofanya ili kupata ushauri hivyo ukiona hakuulizi kitu ujue kuna tatizo.
yuko bize sana; huenda mwanzoni ulikua una uwezo wa kumshtukiza mkatoka kwenda kula au kwenda kutembea sehemu lakini siku hizi hataki mambo hayo.
anataka chochote mnachotaka kufanya mpange siku kadhaa kabla ili aweze kujua ni muda gani wa kutumia na wewe na muda gani wa kwenda kwa wanaume wengine.
hataki kuzungumzia ndoto zenu; mara nyingi mwanamke huyu hataki kusikia habari zenu wewe na yeye kuhusu maisha ya baadae, atakua hataki kuzungumzia kwani yeye hajioni akiwa na wewe.
wanawake ni watu ambao wanapenda sana kua siriazi na mahusiano mpaka ndoa hivyo ukiona hakuulizi chochote ujue hauko peke yako tena wewe ndio mwanaume wa pembeni.
anakutuhumu kwamba unamsaliti; mwanamke huyu anakua ana hofu kubwa kwamba huenda utamgundua, hivyo kuepusha shari hili ni kukutuhumu sana wewe huku akiwataja wanawake ambao huenda ni wafanyakazi wenzako au ni rafiki zako tu kwamba unatoka nao.
hii ni njia ya kufanya ili kukupoteza wewe ushindwe kuoana mambo yake.
anataka kua peke yake kwa muda(break); mara nyingi wanawake hua hawapendi kukaa bila mahusiano ndio maana ukiachana naye leo utasikia wiki ijayo kapata mpenzi mpya.
sasa ukisikia mwanamke anakwambaia kwamba anatake break kwa muda basi hana uhakika kama yuko tayari kuachana na wewe hivyo anaenda kujaribu mahusiano mapya na kwasababu wewe utakua sio mpenzi wake kipindi hicho basi utakua huna uwezo wa kumuuliza chochote.
mabadiliko ya muonekano wake: mara nyingi mkizoeana sana kwenye mahusiano mnakua hamtumii muda mwingi kutaka kuonyeshana mionekano yenu.
mara nyingi mwanamke akipata mwanaume mpya anaweza akaanza kuvaa nguo za ndani ambazo sio za kawaida yaani zile zinazomuonyesha vizuri, hata uvaaji wake wa nje unaweza kubadilika sana ili kumuonyesha huyo mwanaume mpya.
anakukwepa wewe na jamaa zako; mara nyingi anakua hataki tena kutumia muda mwingi akiwa na wewe, huenda alikua anakupigia simu mara kwa mara ili muonane lakini siku hizi anakwambia ukae tu na marafikiki zako lakini pia kama ulikua umemtambulisha kwa ndugu zako na rafiki zako atakua anawakwepa kwasababu ya mambo anayoyafanya na anajua nyinyi hamuendi popote ili siku mkiachana hao watu wasimsumbue.
anakwepa macho yako; macho ni kioo cha roho ya binadamu, mtu akishindwa kukuangalia usoni basi kuna siri anaificha na anajiona msaliti kwa kinachoendelea.
hawezi kukuambia kwamba anakupenda; kwenye hatua za mwisho kabisa neno "nakupenda" anashindwa kulitamka kwa amani kwani hamaanishi tofauti na mwanzo ambapo alikua anakukumbusha mara kwa mara jinsi gani anakupenda.
mwisho; mwanamke akishaanza kukusaliti hakuna unachoweza kufanya kumrudisha, ukiona dalili hizi basi jiandae kisaikolojia kwa ajili ya maumivu ya kuachana, inaweza kua ngumu kukubaliana na ukweli lakini kuachana naye ni suluhisho ambalo hutalijutia baadae.
STAY ALIVE
DR.KALEGAMYE HINYUYE MLONDO.
0653095635/0769846183

nakubalian san na makala yako na mim napitia wakat mgumu san kuna mwnmk nampend san lkn yeye haonesh Kama ananipend pia hana wivu na Mimi na neno nakupenda kwake ni ngum kulitamk naomb ushaauri
JibuFutaAchana naye
FutaDah Yani hizi dalili kalibia nusu naziona Kwa mwenzi wangu no msalit Moja Kwa moja
JibuFuta