Utumwa wa ngono ni nini?
huu ni ugonjwa wa akili unaoambatana na tabia ya kua na hamu sana ya ngono, kufanya ngono mara kwa mara na mtu mmoja au watu tofauti bila kuridhika.
ni tatizo ambalo linawapata watu wa jinsia zote yaani wanawake na wanaume lakini wanaume ni waathirika zaidi.
mwanadada kutoka uingereza kwa jina la rebecca anasema kwamba "nilikua nafanya ngono mara tano kwa siku bila kuridhika hata kidogo"
nini dalili za ugonjwa huu?
kwa kipindi cha miezi 6 mgonjwa anakua na dalili zifuatazo
chanzo cha ugonjwa huu ni nini?
kimsingi chanzo kikuu cha ugonjwa huu wa akili hakifahamiki, ileweke kwamba ngono ni jambo la kawaida na baadhi ya watu hupenda kufanya ngono na watu mbalimbali ili kupata ladha mbalimbali lakini pale mtu anapoanza kufanya ngono sana kiasi cha kushindwa kujizuia na kuanza kupata madhara mbalimbali ya kiuchumi na kijamii sababu hiyo basi huyo ni mtumwa wa ngono yaani sex addict.
matibabu ya tatizo hili ni nini?
hakuna matibabu ya moja kwa moja kwa tatizo hili lakini njia zifuatazo zimeonekana kusaidia kupona kwa tatizo hili.
tafuta chanzo cha kinachopelekea tatizo kua kubwa zaidi; sababu mbalimbali huambatana na tatizo hili kuendelea kua kubwa yaani ile hali ya mgojwa kupata hamu ghafla, inaweza kuchangiwa na kuangalia video za ngono, kujifungia ndani muda mwingi, kutokua na kazi ya kufanya.
msongo wa mawazo; jaribu kutafuta chanzo cha msongo wa mawazo na jinsi gani unaweza kulitatua tatizo hili, huenda unafikiri kufanya ngono na kujichua kutakusahaulisha matatizo yako lakini sio kweli.
jifunze tabia mpya za kukufanya uwe bize; ingia kwenye vikundi vya mazoezi, ngoma, kuchora, kuogelea au hobby nyingine yeyote ambayo unahisi inaweza kukusaidia kua bize na mambo yako.
dawa; kikundi cha dawa za serotonin reuptake inhibitors husaidia kupunguza hamu ya ngono na kukufanya uishi maisha ya kawaida tu.
STAY ALIVE
DR.KALEGAMYE HINYUYE MLONDO
0653095635/0769846183

- mgonjwa hupata hamu za kufanya ngono mara kwa mara bila kuridhika na kujikuta akishiriki mpaka mara tano au kumi kwa siku kwa kulala na wanawake/wanaume au kupiga punyeto.
- muda wa kufanya ngono au punyeto unaingiliana na kufanya shughuli zingine muhimu za kimaendeleo.
- hamu ya ngono huambatana na hali fulani za kimaisha kama msongo wa mawazo, wasiwasi, na au kujisikia raha sana.
- mgonjwa hujikuta akianza kupambana na hali hiyo ili aache kufanya ngono au punyeto lakini bado hawezi.
- mgonjwa hushiriki ngono hata na watu mbalimbali bila kuwaza kuhusu madhara ambayo yanaweza kumtokea kwa kufanya hivyo.
- hali ya kufanya ngono mara kwa mara inamchosha sana muhusika.
- kua kwenye mahusiano na watu wengi.
- ngono zembe.
- kununua malaya
- ngono kwa njia ya simu.
chanzo cha ugonjwa huu ni nini?
kimsingi chanzo kikuu cha ugonjwa huu wa akili hakifahamiki, ileweke kwamba ngono ni jambo la kawaida na baadhi ya watu hupenda kufanya ngono na watu mbalimbali ili kupata ladha mbalimbali lakini pale mtu anapoanza kufanya ngono sana kiasi cha kushindwa kujizuia na kuanza kupata madhara mbalimbali ya kiuchumi na kijamii sababu hiyo basi huyo ni mtumwa wa ngono yaani sex addict.
matibabu ya tatizo hili ni nini?
hakuna matibabu ya moja kwa moja kwa tatizo hili lakini njia zifuatazo zimeonekana kusaidia kupona kwa tatizo hili.
tafuta chanzo cha kinachopelekea tatizo kua kubwa zaidi; sababu mbalimbali huambatana na tatizo hili kuendelea kua kubwa yaani ile hali ya mgojwa kupata hamu ghafla, inaweza kuchangiwa na kuangalia video za ngono, kujifungia ndani muda mwingi, kutokua na kazi ya kufanya.
msongo wa mawazo; jaribu kutafuta chanzo cha msongo wa mawazo na jinsi gani unaweza kulitatua tatizo hili, huenda unafikiri kufanya ngono na kujichua kutakusahaulisha matatizo yako lakini sio kweli.
jifunze tabia mpya za kukufanya uwe bize; ingia kwenye vikundi vya mazoezi, ngoma, kuchora, kuogelea au hobby nyingine yeyote ambayo unahisi inaweza kukusaidia kua bize na mambo yako.
dawa; kikundi cha dawa za serotonin reuptake inhibitors husaidia kupunguza hamu ya ngono na kukufanya uishi maisha ya kawaida tu.
STAY ALIVE
DR.KALEGAMYE HINYUYE MLONDO
0653095635/0769846183
Nmependa mahusio yenu,nami nmekua muhusika wa hili
JibuFuta