kuteguka kwa jointi ya mkono ni moja ya ajali ambazo zinatokana na kupata ajali michezoni au kuanguka katika shughuli mbalimbali.
mara nyingi huhitaji nguvu nyingi sana kuteguka kwa mkono huu na huambatana na maumivu makali sana....
kuteguka kwa mkono huweza kutokea kwa mbele ya mkono[anterior dislocation], au nyuma ya mkono[posterior dislocation].
dalili za kuteguka kwa mkono.....

- maumivu makali ya mkono
- kupata ganzi ya mkono
- kuvimba sehemu ya jointi.
- kushindwa kabisa kuutumia mkono kufanya kazi.
vipimo ambavyo vinapimwa ili kuhakikisha kama mkono umeteguka.
matibabu ya kuteguka kwa mkono
mgonjwa hupewa dawa ya usingizi ili kutuliza maumivu kisha mkono hurudishwa katika sehemu yake kama mwanzo[closed reduction] na kama mkono ukishindwa kurudishwa kwa kawaida mgonjwa hutakiwa kupasuliwa na kurudishwa katika hali yake ya kawaida[open reduction].
baadae mkono hufungwa P.O.P kwa muda wa wiki nne kisha P.O.P hutolewa na kuanzishiwa matibabu ya taratibu.
STAY ALIVE
DR.KALEGAMYE HINYUYE MLONDO
0653095635/0769846183
0 maoni:
Chapisha Maoni