data:post.body ZIFAHAMU NJIA 7 ZA UZAZI WA MPANGO AMBAZO HAZINENEPESHI NA SALAMA. ~ SIRI ZA AFYA BORA...

Recent Posts

ZIFAHAMU NJIA 7 ZA UZAZI WA MPANGO AMBAZO HAZINENEPESHI NA SALAMA.

karne ya 20 kidonge cha kwanza kwa ajili ya kuzuia mimba kiligunduliwa hapa duniani, hii ilikua moja ya mapinduzi makubwa kabisa kwenye sekta ya afya kwani wanawake walikua wanakumbwa sana na tatizo la kubeba mimba bila kutarajia, kuzaa watoto wengi, vifo kwa kujaribu kutoa mimba na kadhalika.
baadae kwa kupitia kidonge hicho njia zingine ambazo zinafanana na kidonge hicho yaani zinatumia homoni kufanya kazi kama sindano, vijiti, dawa za kumeza baada ya tendo ziligundulika pia.
lakini pamoja na faida ambazo zilipatikana, changamoto nyingi sana zimekua zikiambata na dawa hizo ikiwemo mdhara madogo madogo kama kichefuchefu, kutokwa damu nyingi sana, kutokwa na damu kila siku na kushindwa kufurahia tendo la ndoa,  na kadhalika pia madhara makubwa makubwa kama kunenepa sana na kua kwenye hatari ya magonjwa kama kisukari na presha, kuganda kwa damu hali ambayo ni hatari sana na hatari ya kupata saratani mbalimbali za mwili.
kwa kuliona hilo leo nimekuja na njia zingine ambazo unaweza kuzitumia kuzuia mimba ambazo hazina kemikali za homoni ambazo kimsingi ni hatari kwa bainadamu kama ifuatavyo.
                                                                     
njia ya kitanzi; hii ni njia ambayo kifaa kidogo huingizwa ukeni na kuzuia mbegu za mwanaume kukutana na mayai ya mama, kitanzi hichi hakina kemikali za homoni na huweza kukaa hapo hata miaka kumi, kitanzi hichi hakinenepeshi, hakina hatari ya kansa..baadhi ya vitanzi vina homoni hivyo ni vizuri ukienda hospitali useme nataka kitanzi cha copper ambacho hakina vichocheo vya homoni.
kwa mara ya kwanza kikiwekwa damu huweza kutoka nyingi sana lakini baadae huacha, kitaalamu ni njia salama sana kiafya kuliko kijiti, vidonge na sindano ambavyo vina kemikali nyingi za homoni.
dawa za kuua mbegu; hizi ni dawa ambazo kazi yake ni kuua mbegu za mwanaume wakati anapomwaga ndani, hufanya kazi vizuri sana na hazina madhara ya kimwili kama nilivyotaja hapo juu..huuzwa kama cream, au vidonge ambavyo hupachikwa muda mchache kabla ya tendo la ndoa.     mfuniko wa mfuko wa uzazi; huu ni mfuniko ambao unatumika kufunika sehemu ya mlango wa uzazi ili mbegu zisipite, ni moja ya njia salama sana na huzuia mimba kwa kiasi kikubwa sana, changamoto ni kwamba unahitaji kujifunza vizuri jinsi ya kutumia kwani ukiweka vibaya njia hii inaweza kushindwa,
njia ya calenda; hii ni moja ya njia salama sana ya kuzuia mimba, watu wengi hawajui jinsi ya kuitumia sio kwasababu ni ngumu hapana, ila watu wengi hua hawako serious linapokuja swala hili na wengine hujikuta wamefanya ngono zembe baada ya kulewa au kushawishiwa sana wakiwa kwenye siku za hatari.
matumizi ya kondomu; japokua watu wengi hawependi kuzitumia kwa madai hazina ladha lakini kama una nidhamu ya maisha ni moja ya njia bora sana ya kuzuia mimba na magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi.
kwa kijana ambaye hujaoa au kuolewa hata kama una mpenzi ni vizuri kujizoesha kutumia hizi kinga kwani uaminifu siku hizi ni mdogo sana na watu wengi wana wapenzi tofauti tofauti.
kuna kondom nzuri ambazo laini sana kiasi kwamba ukivaa unaweza kuhisi hujavaa kitu mfano rough riders.
unaweza kuona kwamba kutumia kondomu ni mzigo lakini kama huna ukimwi unatakiwa utumie kondom kuzuia ukimwi, ukishapata ukimwi unatakiwa uvae kondomu kuzuia maambukizi mapya hivyo ni bora kuzivaa mapema.
kukata mirija ya uzazi; mirija ya uzazi hasa kwa wale wanawake na wanaume ambao tayari wana watoto wakubwa na hawategemei kuzaa kwa namna yeyeote ile hakuna haja ya kuendelea kuteseka na vidonge au kemikali mbali mbali, cha msingi ongea na daktari na huduma hii ya kukata mirija hiyo hufanika bure kwa jinsia zote.
kumwaga mbegu nje; hii ni moja ya njia bora sana kama wewe na mpenzi wako mkielewana, nawafahamu watu waliotumia njia hii kwa muda mrefu sana na mafanikio makubwa sana, kikubwa ni nidhamu tu na kuhakikisha mwanaume unachomoa uume kwa wakati muafaka.

                                                                       
                                                                    STAY ALIVE
                                                                           

Maoni 2 :

  1. Hello, mimi ni Silvia Arade Baada ya kuwa na uhusiano na mume wangu kwa miaka, alivunja na mimi, nilifanya kila kitu kilichowezekana kumrudisha lakini yote ilikuwa bure, nilitaka kurudi sana kwa sababu ya upendo ninao kwa yeye, nikamsihi kwa kila kitu, nimefanya ahadi lakini alikataa. Nilielezea tatizo langu kwa rafiki yangu na alipendekeza kwamba nipaswa kuwasiliana na kipaji cha spell ambacho kinaweza kunisaidia kupiga spell kumrudisha lakini mimi ni aina ambayo haijawahi kuamini kwa spell, nilikuwa na chaguo kuliko kujaribu, mimi alipeleka barua ya barua ya barua, na akaniambia hakukuwa na shida kwamba kila kitu kitakuwa sawa kabla ya siku tatu, kwamba mzee wangu atarudi kwangu kabla ya siku tatu, alitoa spell na kushangaza siku ya pili, ilikuwa karibu 4:00 jioni. Wangu wa zamani aliniita, nilishangaa sana, nikamjibu wito na yote aliyosema ni kwamba alikuwa na huruma sana kwa kila kitu kilichotokea kwamba alitaka nirudi kwake, kwamba ananipenda sana. Nilifurahi sana na nikamwendea yeye ni jinsi tulivyoanza kuishi pamoja kwa furaha tena. Tangu wakati huo, nimefanya ahadi kwamba mtu yeyote ninayejua kuwa na tatizo la uhusiano, napenda kumsaidia mtu huyo kwa kumtaja kipaji cha pekee halisi na cha nguvu ambacho alinisaidia kwa tatizo langu. barua pepe:
      wewe cadr.zulugreattemple@gmail.comn umpe barua pepe ikiwa unahitaji msaada wake katika uhusiano wako au Uchunguzi mwingine wowote.

    1) Upendo Unaelezea
    2) Upendo uliopotea unaelezea
    3) Talaka inaelezea
    4) Inaelezea ndoa
    5) Kuzuia Spell.
    6) Maelekezo ya kupasuka
    7) Piga Mpenzi wa zamani
    8.) Unataka kupandishwa kwenye ofisi yako
    9) wanataka kukidhi mpenzi wako
    10) Tiba ya ugonjwa wowote unaoambukizwa
    Wasiliana na mtu huyu mkuu ikiwa una shida lolote na ufumbuzi wa kudumu
    kupitia dr.zulugreattemple@gmail.com

    Asante baadaye

    JibuFuta
  2. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma

    Kwaheri Gerd Ulrich

    JibuFuta