data:post.body KAMA UNASUMBULIWA AU UNA NDUGU YAKO ANASUMBULIWA SANA NA MAUMIVU MAKALI YA JOINTI NA MIFUPA SOMA HAPA. ~ SIRI ZA AFYA BORA...

Recent Posts

KAMA UNASUMBULIWA AU UNA NDUGU YAKO ANASUMBULIWA SANA NA MAUMIVU MAKALI YA JOINTI NA MIFUPA SOMA HAPA.

                                                                   
 ugonjwa wa maungio au jointi za binadamu sasa hivi unasumbua watu wengi sana hasa wazee japokua hata baadhi ya vijana siku hizi wanasumbuliwa pia. kitaalamu husababishwa na aina kuu tatu za vyanzo kama ifuatavyo.


 septic arthritis ambayo hii husababishwa na bacteria ambapo mgonjwa hupata homa, kuvimba kwa joint moja inaweza kua ya mguu au mkononi au popote.na hata kutoa usaa wakati mwingine hivyo usaa ule hutakiwa kutolewa wakati mwingine na kuingiza dawa palepale kwenye jointi, mgonjwa huyu hutakiwa kupewa dawa za kuua bacteria hao kitaalamu kama antibiotics kabla ya matibabu mengine ya kupewa virutubisho vya mifupa.

rheumatoid arthritis: huu ni ugonjwa wa jointi ambao unasababishwa na mwili wenyewe kwa aina moja au nyingine kujishambulia wenyewe, mgonjwa huonyesha maumivu makali ya jointi karibia zote hasa asubuhi, bila  homa na matibabu yake kwanza ni kupewa dawa za maumivu kama diclofenac au meloxicam na dawa za kuzuia mashambulio hayo kitaalamu kama ant inflamatory kisha ni vizuri apate na virutubisho.

degenerative athritis; aina hii ya ugonjwa wa jointi mara nyingi husababishwa na umri, yaani yale majimaji hunza kukauka na nyama ngumu kitaalamu kama cartilage huanza kulika taratibu, lakini pia husababishwa na uzito uliopitiliza hivyo kati ya matibabu ya kwanza ya watu hawa ni kupunguza uzito kidogo. hali hii husababisha maumivu makali sana yasiyo ya kawaida na matibabu pekee ya tatizo hili ni virutubisho vitakavyojenga cartilage tena na kulainisha kwa maji mengi jointi hizi ili mtu aweze kupona. mara nyingi vipimo vya x ray huchukuliwa kuhakikisha tatizo lakini tatizo huweza kugundulika kwa dalili  tu.
                                                                               
virutubisho hivi vimetengenezwa na aloe vela na kiasi kikubwa na vimelea muhimu vya mwili ambavyo kila binadamu anavyo na virutubisho hivi hutumika sana kutibu maumivu makali ya jointi kwa vijana na wazee, kuwahisha kiungo kilichovunjika baada ya matibabu hospitali na kurahisisha kuunga haraka na kuzuia ulemavu kabisa.

juisi hii tamu ya mimea ikiwa haina kemikali hata kidogo imewekewa  na glucosamine sulfate na chrondroitin sulfate ambazo hizi hupatikana kwenye joint za mifupa ya binadamu  kwa hali ya kawaida na kukosekana kwake huleta maumivu makali sana yaa jointi hivyo juisi hiyo hurudishia sehemu virutubisho hivyo na kukufanya ue mzima tena.

glucosamine sulfate na chrondrotin sulfate husaidia sana kuongeza maji kwenye maungio ya mifupa, hupunguza uwezekano wa mfupa mmoja kusagana na mfupa mwingine na kulainisha sana sehemu za maungio ya mifupa. lakini umri unavyozidi kwenda wa binadamu, uwezo wa kutengeneza hivyo virutubisho vya unapungua sana ndio maana waatu wenye umri mkubwa husumbuliwa na maumivu makali sana ya mifupa na kimiminika hichi cha virutubisho ndio uhuru wao.

juisi hii ina glusamine sulfate 1500mg, chrondotin sulfte 1500mg pamoja na vitamin c, ambavyo nimuhimu sana kurudisha jointi za mwili katika hali ya kawaida. virutubisho hivi vimesaidai maelfu ya watu ambao walikua wamekata tamaa ya kupona maumivu yao makali ya mifupa na joint baada ya kutumia dawa nyingi sana.

jinsi ya kutumia; kunywa kama 30mils au robo glass ya forever freedom mara moja kila siku baada ya kuitikisa vizuri na kisha iweke mahali pa ubaridi na ikiwezekana aweke kwenye friji na mwili wako wote utaachia na kua mpya.nakumbuka kuna watu walikua wako hali mbaya sana   mpaka wanazifunga jointi za miguuni na kamba au nguo lakini leo hii ni wazima kabisa na wanatembea.
                                   tembelea blog yetu ya kingereza hapa www.vibesinc.ga

                                                                STAY ALIVE

                                            DR KALEGAMYE HINYUYE MLONDO                                                                                             0653095635/0769846183

0 maoni:

Chapisha Maoni