hongera kwa kuingia kusoma makala hii kwani kwa mara ya kwanza kwenye maisha yako unaenda kusoma vitu ambavyo vinaenda kubadilisha maisha yako kabisa... yaani kama una kitambi au ni mnene anza kukiaga.
kwakweli uzito umezidi kua mzigo kwa watu wengi sana kwa sasa, na wengi wao wameshakata tamaa kabisa baada ya kujaribu kila mbinu na kushindwa. wengine wanapungua na baada ya muda wanarudi katika hali yako yao ya zamani. kampuni ya forever living product ambayo hata madaktari wengi duniani wametokea kuiamini na kufanya nayo kazi sasa imezindua virutubisho kutoka kwenye mimea mbalimbali ya asili vinavyoweza kukupunguza uzito wa kilo tisa ndani ya siku tisa tu.
unaweza ukawa huamini lakini nimewashuhudia waliopungua na sasa wanaishi maisha safi kabisa wakiwa na uzito kidogo wa wao wa zamani bila hofu ya kunenepa tena. sasa wanaweza kwenda beach, kucheza mpira na kufurahia maisha kama watu wengine.
mchanganyiko;
mzigo wa clean 9 unakua na vitu vifuatavyo; juice ya aloe vera chupa tatu, forver lite au vanila chupa moja, vidonge vya forever garcinia plus 70, vidonge vya forever bee 100, t shirt moja na tepu ya kujipima.
jinsi inavyofanya kazi
virutubisho hivi huanza kwa kusafisha mfumo wa chakula na kuondoa sumu zote ambazo hubaki baada ya kula vyakula hasa vya mafuta mengi, sukari na kukaangwa sana kama chips, maandazi,chapati, sambusa na kadhalika kisha hupunguza hamu ya kula na kumfanya mtu ale kidogo na kuridhika na pia huongeza kasi ya kuchoma mafuta mwilini na huu ndio mwanzo wa maisha mapya ya bila kitambi na unene.
jinsi ya kutumia;
siku ya kwanza na ya pili.
hizi ni siku ambazo mwili utakua unasafishwa na kuondoa sumu au kemikali zozote zilizoganda ndani ya mwili wako na ukimaliza siku hizi mbili ukaenda kupima uzito utakua umeshapungua. kitu muhimu cha kuzingatia ni kwamba ndani ya siku hizi mbili utakua hautumii chakula chochote zaidi ya hizi bidhaa hivyo usijisahau ukaharibu mpango mzima.
- asubuhi utakunywa vidonge viwili vya lishe vinaitwa garcinia[ ni kwenye kopo la maandishi ya blue imeandikwa garcinia kama umeshanunua product kwa msambazaji]
- baada ya dakika ishirini utakunywa robo glass ya juice ya aloevera kwenye chupa la njano na hkikisha umeitikisa kwanza. kisha kunywa maji nusu lita na yasiwe ya baridi sana na ukiweza kunywa ya uvuguvugu.
- baada ya hapo fanya mazoezi kwa dakika ishirini yaani inaweza kufanya usafi, kukimbia, kuruka kamba ni nzuri za na rahisi zaidi kwa mazingira yeyote. lakini hakikisha zoezi lolote utakalofanya likutoe jasho.
saa nne asubuhi
meza vidonge viwili vya bee pollen na maji robo tatu ya glass.
mchana
- vidonge viwili vya garcinia, dakika 20 baadae aloe vera robo glass na maji robo tatu ya glass kisha fungua kopo kubwa la kijivu kwa jina la forever lite ultra ndani yake kuna kijiko cha plastic. sasa changanya unga huo na glass ya maziwa yasiyo na mafuta au tumia maziwa ya soya kisha changanya unywe.kisha meza tena vidonge viwili vya bee polen.
wakati wa usiku
vidonge viwili vya garcinia plus na dakika 20 baadae unywe aloe vera robo glass na vidonge viwili vya bee pollen kisha wakati wa kwenda kulala kunywa aloe vera robo glass na maji robo tatu ya glass.
kumbuka; dosi hyo hapo juu ni ya siku ya kwanza na ya pili na siku hizo hutakiwi kula chochote zaidi ya
hivyo ninavyokuelekeza hapo juu.
hivyo ninavyokuelekeza hapo juu.
siku ya tatu na ya hadi tisa;
hapa tayari mwili ushaanza kupokea mabadiliko na ukipima uzito utakuta umeshaanza kupungua, hapa unaweza kuaanza kula kidogo sio kama siku ya kwanza kama ntakavyoelekeza.
- asubuhi ukiamka utakunywa vidonge viwili vya garcinia kisha dakika ishirini baadae utakunywa robo glass ya juisi ya alovera. hakikisha umeitikisa kwanza kisha maji robo tatu ya glass. kisha chukua vanila ultra changanya na glass moja ya maziwa ambayo hayana mafuta au maziwa ya soya na ukikosa kabisa tumia majia ya moto ila maziwa ni muhimu sana.
- kama kawaida fanya mazoezi kwa dakika ishirini kama nilivyoelekeza hapoa mwanzo mpaka utokwe jasho.
saa nne asubuhi
vidonge vinne vya bee poleni na maji robo tatu ya glass.
wakati wa mchana;
- tumia vidonge viwili vya garcinia na baada ya dakika ishirini fungua kopo hilo la kijivu lililoandikwa forever lite ultra ndani yake kuna kijiko cha plastic, chota unga uliopo humo kisha changanya na maziwa yasiokua na mafuta au maziwa ya soya kisha koroga glass moja unywe.
- kisha vidonge viwili vya bee pollen na maji robo tatu ya glass, hapa unaweza kula matunda kama tikiti maji, machungwa, apple na machenza lakini usile parachichi, ndizi au maembe.
wakati wa usiku;
akunywa aloe vera gel robo glass na maji robo tatu glass, garcinia vidonge viwili na dakika ishirini baadae ule chakula kidogo sana kama kipande cha samaki na wali au ugali kidogo sana kisha meza vidonge viwili vya bee pollen na wakati wa kwenda kulala tumia maji robo tatu ya glass tu.
mwisho; baada ya siku tisa kama umefuata maelekezo yote utakua umepungua kilo tisa, programu hii sio rahisi sana, usije ukaagiza virutubisho hivi kisha ukaanza kutumia huku ukijificha na kula vitu ambavyo hujaelekezwa kwani utakua unajidanganya mwenyewe, baada ya program hii maisha yako tunategemea yabadilike na utaanza kula kiafya yaani kutokula vyakula vingi sana ambavyo ni hatari kwa mwili wako. ni vizuri sana kutunza afya yako katika dunia hii ya sasa yenye vyakula vingi vilivyokaangwa na kemikali nyingi na kujifunza kula matunda, mbogamboga na protini kama samaki na dagaa huku ukila sukari na wanga kama ugali, viazi, mihogo, bidhaa zote za ngano kwa kiasi kidogo sana kwani ni moja ya vyanzo vikuu vya unene uliopitiliza. baada ya kupungua uzito huu wa kilo tisa kwa watu wengi wanakua wako vizuri ila kama wewe ni mnene sana na unataka uendelee kupungua kuna program inaweza kuendelea hapo kwanzia siku ya kumi mpaka thelathini inaitwa lifestyle 30 na utapungua zaidi. lakini pia bidhaa hizi zinaweza kua ni gharama kulingana na hali ya watanzania wengi lakini tunatakiwa kufahamu afya kwanza kisha mali zinafuata, kama unalimbikiza ujenge nyumba na na kununua gari ukiwa bado na kitambi na unene basi ugonjwa wa moyo utakuua kabla hujatimiza ndoto zako hivyo nakushauri uweke afya kwanza.lakini pia kama wewe ni mjasiriamali unaweza kutumia fursa hii kujiunga na kampuni ununue kwa bei ya chini na zingine uwauzie wapendwa wako na kisha utaendelea kupata bidhaa zaidi za kampuni hii nzuri na za ubora wa hali ya juu zilizothibitishwa na viwango vya ubora dunia nzima ikiwemo halal ya kiislam ambayo ni moja ya bodi ngumu sana kupata baraka zao duniani.
onyo; program hii ni marufuku kwa wagonjwa wa kisukari au itumike chini ya uangalizi mkubwa wa madaktari kitu ambacho hapa tanzania ni kigumu kwani wao wanatakiwa wapunguze uzito taratibu na wakitumia program hii kuna hatari ya kupata hali inaitwa ketoacidosis ambayo inaua haraka sana.
kwa maelezo zaidi soma hapa
SECRETS OF GOOD HEALTH
STAY ALIVE
DR.KALEGAMYE HINYUYE MLONDO. MAWASILIANO 0653095635/0769846183
0 maoni:
Chapisha Maoni