Mtu mmoja aliwahi kuniuliza dokta kwanini unapenda sana
kuongelea hizi maada za nguvu za kiume, nikamjibu kwasababu wahanga wa hili
tatizo ni wengi kuliko jamii inavyofikiria ila kwa sababu ugonjwa huu
hausabababishi kifo na ni siri ya kila mtu ndio maana jamii ina puuzia lakini kila mmoja anafahamu
hali yake ikoje na mimi najua wako wengi na sitaacha kuwaambia na usipoyafuata nayosema hapa utakimbia ndoa au utaendelea kuadhirika kila siku jogoo anaposhindwa kuwika. hivyo siwezi
kukaa kuongelea kuhusu vitu kama malaria wakati serikali na asasi za kijamii zingine kila siku zinaongelea
habari hizo.
Nguvu za kiume ni janga kubwa ambalo linaitafuna dunia ya
sasa na watu wengi wamekua wakihangaika huku na kule kutafuta dawa ya kudumu ya
shida hii bila kua na ufahamu mzuri wa tatizo hili hivyo leo naenda kuwafunua
akili watu wengi ili watulie nyumbani na waache kushinda kwa waganga wa
kienyeji na kunywa dawa ambazo haziwasaidii kabisa.
Nguvu za kiume hupungua kadri umri unavyo ongezeka: homoni
inayoitwa testosterone ndio inayomfanya mtu aitwe mwanaume yaani kwanzia sauti,
kifua, na ukubwa na nguvu za kiume. Homoni hii hupungua umri unavyozidi kwenda
na hili swala sio ugonjwa ni kawaida na sio kwa uume tu hata viungo vingine vya
mwili huishiwa nguvu umri unavyosonga. Sasa mtu akifika miaka 35 au 40 anaenda
kwa mganga anataka nguvu za kiume zile
za miaka 18, sio ugonjwa huo ni umri. Pia watu wenye umri zaidi ya miaka 31
wakishafika kileleni huchelewa kidogo kusimamisha uume kwa ajili ya kuendelea na
raundi ya pili tofauti na vijana wadogo, hivyo suluhisho kubwa hapa sio
kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume bali kujifunza kuchelewa kutoa goli la
kwanza ili umridhishe mwenza wako kwanza na kukubali ukweli kwamba umri umeenda. jifunze jinsi ya kuchelewa kufika kileleni hapa KAMA WEWE MWANAUME UNA TATIZO LA KUFIKA KILELENI HARAKA KABLA MPENZI WAKO HAJARIDHIKA SOMA HAPA
Huwezi kupona tatizo la nguvu za kiume bila kutibu au kujua
chanzo chake: niliwahi kusema nguvu za kiume hupungua kwa sababu maalumu….
huweza kupungua sababu ya punyeto, msongo wa mawazo, kuchoka sana na kazi,
maumivu makali ya mwili, magonjwa yanayoathiri
mishipa ya fahamu mfano kisukari na magonjwa yote ambayo yanakufanya
usiwe katika hali ya kawaida humaliza nguvu za kiume. Bila kuacha kuatatua au kutibu
chanzo cha tatizo huwezi kupona shida hii na itakusumbua daima.
Hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume moja kwa moja
duniani: dawa zote zinazotangazwa huongeza nguvu za kiume ni za muda tu na
zingine sio za kweli kabisa ni za kitapeli tu,
baada ya dawa ni zamu yako kuupa mwili vitu muhimu vya kiafya ili nguvu
zile ziweze kua palepale ikiwemo kutovuta sigara, kunywa pombe kwa afya, maji
mengi ,kupata hewa safi na kadhalika.
Ukiona kijana chini ya miaka 30 hana nguvu za kiume ujue
sababu kuu ni punyeto; zaidi ya asilimia tisini na tano ya vijana wa chini ya
miaka 30 ambao wanadai nguvu za kiume zinawasumbua sana ni kwa sababu ya kupiga
punyeto kwa muda mrefu na mpaka sasa hivi bado wanapiga..
.punyeto humaliza nguvu
vipi? Hamu ya kulala na mwanamke ni sawa na hamu ya kula, kama wewe muda wote
umeshiba utakulaje? Hizo nguvu zinatoka wapi wakati wewe huna nyege hata moja?
Acha punyeto na kama hujui jinsi ya kuacha soma hapa sio uendelee kusema hii
ndio ya mwisho afu kesho unapiga tena.
Njia pekee ya kua na nguvu za kiume muda mrefu wa maisha
yako ni kufanya mazoezi ya kawaida na
mazoezi ya kuongeza nguvu za kiume: kama
jinsi watu wanaofanya mazoezi ya mwili
wanavyokua fiti kwa nguvu na akili ni sawa na nguvu za kiume huwezi
kushinda ndani kila siku kwenye mitandao ya kijamii na televisheni afu utegemee
kupata nguvu za kiume wakati hata nguvu za kubeba kilo tano za sukari huna. Na
hili ndio suluhisho pekee kwa watu ambao umri unaenda hakuna dawa wala miujiza
ya tatizo hili, mazoezi ya viungo kama kukimbia, gym,kuruka kamba ni muhimu kwa nguvu hizo,lakini pia mazoezi maalumu ya uume ukiyafanya kwa uaminifu bila kukata tama hili
tatizo utalisikia redioni na utafika umri mkubwa sana ukiwa bado uko vizuri.kama
huyajui mazoezi hayo soma hapa…
PATA KITABU CHA MAZOEZI YA KUONGEZA UREFU, UNENE WA UUME NA NGUVU ZA KIUME..
Vyakula ni muhimu sana kwa nguvu za kiume kuliko watu
wanavyodhani: kuna vyakula nilishawahi kuvitaja kwennye makala zilizopita
ikiwemo ndizi mbivu, karanga, blue berries, kitunguu swaumu na chocolate.. utafiti
unaonyesha kwamba wanaume wanaotumia vyakula hivi hua na nguvu sana za kiume
kuliko wale wasiotumia. kuendelea kula vyakula ambavyo havina msaada kwenye mwili wako kama chips, soda, na mikaango mbalimbali hataikusaidia kwa tatizo hili zaidi ya kuendelea kuadhilika kila siku kwenye tendo la ndoa..
virutubisho vya maltmata vinaongeza nguvu za kiume; kuna dawa moja inaitwa malt maca imetengenezwa kwa mchanganyiko wa matunda, magome ya miti na mizizi, kiukweli dawa hii ni kiboko kwani imejaa vyakula ambavyo hata afrika hakuna na watu wote wanayoitumia kama chakula wanaisifu sana.dawa hii inuzwa na wasambazaji maalumu sio maduka ya madawa.
virutubisho vya maltmata vinaongeza nguvu za kiume; kuna dawa moja inaitwa malt maca imetengenezwa kwa mchanganyiko wa matunda, magome ya miti na mizizi, kiukweli dawa hii ni kiboko kwani imejaa vyakula ambavyo hata afrika hakuna na watu wote wanayoitumia kama chakula wanaisifu sana.dawa hii inuzwa na wasambazaji maalumu sio maduka ya madawa.
Unene na kitambi hupunguza sana nguvu za kiume na ukubwa wa
unene: mwili mnene sana huleta uchovu mwingi na watu hawa ikifika usiku hua
wamechoka sana na hawawezi kufanya lolote, lakini pia unene huo hufanya uume
kufunikwa na mafuta mengi na kuonekana mdogo sana kuliko kawaida.hivo kama wewe
ni mnene jitahidi lupunguza unene kwa njia zote ikiwemo mazoezi na kupunguza
vyakula..
Uume kulala baada ya kufika kileleni haimaanishi huna nguvu
za kiume; watu wengi huangalia video za ngono na kuona watu waliomeza madawa ya
kuongeza nguvu za kiume wakiunganisha raundi ya kwanza mpaka ya tatu bila kuchoka na kudhani ili ndio kawaida, hakuna mwanaume
dunia hii anaweza kuunganisha raundi ya kwanza na ya pili kwani ile ni hali ya kawaida
ya mwili wa binadamu[normal physiology] lazima uume ulale kidogo ndipo uamke tena.
Watu wa zamani hawakusumbuliwa sana na tatizo hili; maisha
ya watu wa zamani kazi zao ilikua ni kama mazoezi kwao kwani zilikua ngumu na
za kutoa jasho, chakula chao kilikua ni cha asili sana lakini maisha ya siku
hizi ya kushinda umekaa ofisini siku nzima na kwenda kula na kulala jioni lakini pia ulaji wa vyakula ambavyo sio vya
asili havina msaada kwa mwili wako. Utakuta mtu anakula maharage ya super
makert afu yupo Tanzania, hivi kweli
maharage ya kawaida sokoni yameisha au ni kutaka kuonekana na wewe ni wa
kisasa?
Kuangalia picha na video za ngono kuna haribu sana nguvu za
kiume kisaikolojia; miaka ya nyuma mtu alikua anaiona chupi ya mwanamke siku ya
ndoa tu, na kweli mtu huyu anakua ni rijali kwelikweli, sasa siku hizi mtu
unaenda kuoa umeshaziona chupi nyingi, video nyingi za ngono kiasi kwamba
mwanamke akimvulia nguo haoni kipya kwake..achana na hizo video ili uwe salama.
kwa maelezo zaidi soma hapa.
tembelea blog yetu ya kingereza hapa www.vibesinc.ga
kwa maelezo zaidi soma hapa.
tembelea blog yetu ya kingereza hapa www.vibesinc.ga
STAY ALIVE
DR.KALEGAMYE HINYUYE MLONDO. 0653095635/0769846183
0 maoni:
Chapisha Maoni