data:post.body JINSI YA KUONGEZA UREFU NA UNENE WA UUME KWA MAZOEZI. ~ SIRI ZA AFYA BORA...

Recent Posts

JINSI YA KUONGEZA UREFU NA UNENE WA UUME KWA MAZOEZI.



                                                                       
                                  
Unaweza kua umepata mshtuko kuona makala hii kwasababu niliwahi kuandika makala kupinga watu wanaodai wana dawa za kuongeza unene na urefu wa uume na kuongeza nguvu za kiume kwenye moja ya makala zangu zilizopita, lakini msimamo wangu bado ni ulele kwamba hakuna dawa wala uchawi wa kuongeza maumbile ya uume japokua kuna dawa zakuongeza nguvu za kiume kutoka viwandani na zinafanya kazi hizo za kienyeji siwezi kuziongelea kwani hawa watu hawakubali kushindwa hata dawa ya ukimwi watakwambia ipo…

kuna njia mbili tu za kuongeza uume yaani upasuaji ambapo ligament kuu mbili za zinazoshika uume  uume na mfupa wa nyonga hukatwa na na kufanya sehemu ya ndani ya uume {ambayo ni kama sentimita sita kwa ndani} kutoka nje lakini njia hii ni hatari kwani hupona na kuacha makovu, makovu ambayo baadae yatauvuta uume ndani na uonekane mdogo zaidi lakini pia uume hukosa balance na kuchomoka nje na kupinda wakati mwingine.

Njia nyingine ambayo kwa sasa imefanyiwa utafiti duniani na madaktari bingwa wa mambo ya sehemu za siri yaani urologist na sexiologist ni ya kufanyisha mazoezi ligament hizo mpaka ziongezeke urefu na kuongezeka unene bila madhara hata kidogo.

Unaweza kua umeshachanganywa na matangazo mengi ya kwenye mtandao ambayo hujitapa yanaweza kufanya hiyo kazi kwa vidonge au waganga wa ndani ya nchi ambao kila siku wanakula pesa nyingi sana kwa kazi hiyo ya kitapeli ambayo haina ushahidi. Sasa kama na wewe umeshandanganyika sana tulia usome kwa makini ukweli ulipo na mzoezi yanvyofanya kazi.
Unaweza kua ushawahi kuyafanya mazoezi haya lakini hukufanikiwa kwa sababu hukufuata utaratibu hatua kwa hatua kama kitabu kinavyoelekeza.

Je unafanyaje mazoezi haya?
Unaweza ukawa bado unaona ni kitu ambacho hakiwezekani.. lakini ngoja nikwambie kitu kimoja ambacho ulikua hukijui.kama unavyoona misuli ya mtu mwembamba inabeba chuma mpaka inakua inajaa na kua mikubwa. Misuli yote ya mwili wa binadamu ikifanyiwa mazoezi inabadilika ukubwa wake kitaalamu tunaita muscle hypertrophy…mazoezi haya hayahitaji vifaa vyovyote zaidi va viganja vyako.[ hivyo mtu asiyeyaweza labda awe hana viganja au hana uume}

Kuna aina kuu mbili za mazoezi haya..
Mazoezi ya kuongeza urefu wa uume na mazoezi ya kuongeza unene wa uume..

  • Mazoezi ya kuongeza urefu yanahusisha ligament kuu mbili yani fundiform ligament na suspensory ligament kwa kuvuta ligament hizo kitaalamu kama stretching exercises.
  • Mazoezi ya kuongeza unene wa uume ambayo yanahusisha kuongeza damu nyingi kwenye sehemu za uume mpaka sehemu ya ziada iongezeke ili kuhifadhi damu hiyo na ndio unene wenyewe.

tofauti ya mazoezi haya na mengine ya mwili ni nini?
 Ukibeba chuma kwa muda Fulani mwili utajaa sana lakini ukiacha mwili unaweza rudia hali yake ya zamani japokua mwili hautaisha kabisa kwani kama wewe ni mwana mazoezi ukimuona mtu aliyewahi kubeba vyuma zamani utamgundua tu kwani ile ramani ya misuli hua haipotei…lakini ukifanya mazoezi haya kuna mishipa midogo midogo sana ya damu itapasuka kuipisha mikubwa na mishipa hiyo mipya haitapotea milele yaani ukubwa utakaopata hautabadilika tena hata ukiacha.

Je mazoezi haya yanafanya kazi kweli?
Hapa ndipo sehemu kuu ya kuzingatia kuliko zote hautaziona hata kidogo. Nasema hivi kwasababu najua naongea na wanaume sasa hivi kwamba sisi wote ni mashahidi yaani ili ubebe vyuma mpaka kifua kionekane lazima moyo wa kwenga gym uwe nao na ninajua wengi wenu mlishaanza gym mkaenda wiki moja mkaacha ila wale wavumilivu ndio mabaunsa mpaka leo. , ukifanya mazoezi haya kwa muda wa miezi mitatu mpaka sita ukiwa na nia ya kweli kutoka moyoni sio kwamba utaongezeka unene tu bali uume utakua na nguvu kama simba na afya tele. Kiufupi hakuna njia ya uhakika na isyo na madhara kama hii, sio kwamba najisifia kwani hata usiponiamini imeshafanyiwa utafiti na ikakubalika kutumika duniani.

Hebu tuangalie historia, ushahidi na utafiti uliofanywa na madaktari wa kwanza kugundua njia hii..
CHARTHAM METHOD
Mwaka 1970 daktari mmoja aliyekua bingwa ya mambo ya afya kujamiina yaani specialist in sexual health aliyekua ameandika vitabu kadhaa kuhusu mambo ya afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake aliamua kufanya utafiti kuhakikisha mbinu hii iliyokua inaitwa chartham method kabla watu hawajaanza kuitumia.

Daktari huyu alichukua wanaume 32 na kuwafanyisha mazoezi haya kwa muda wa mwezi mitatu na alibaki mdomo wazi kwani utafiti huu ulikua na mafanikio ya asilimia 87.5% yaani wanaume 28 waliongezeka urefu wa uume kwa sentimita 3.5 na unene wa sentimita 3 wakati nyeti zao zikiwa zimesimama huku wawili wakiacha na wengine wawili kutopata mafanikio. Hiyo ilikua miezi mitatu huenda wangefika mezi sita wangekua zaidi ya hapo.

SYNEXUS AND HARRISON
Miaka michache iliyopita utafiti huu ulirudiwa na synexus and harisson clinical research ukiwahusisha wanaume 50 ambako wanaume wote hamsini nyeti zao ziliongezeka kwa urefu wa sentimita 4.5 na unene wa sentimita 4 kwa miezi mitatu tu, yaani zaidi ya utafiti uliopita kwani huu ulifanikiwa kwa asilimia mia moja.
Mazoezi haya yalifanyika kwa dakika 22, siku tano kwa wiki kwa muda wa miezi mitatu.

UTAFITI WANGU MWENYEWE KAMA DAKTARI WA BINADAMU.
Nilipomaliza chuo cha udaktari mwaka 2013 niliendelea kukutana na mabishano makali na madaktari wenzangu kuhusu hoja hii. Nikaona haina haja ya kuendelea kuumiza kichwa kwani moja ya kazi kubwa ya daktari ni kufanya utafiti hivyo nikajitosa kwenye utafiti huo kama daktari,  hivyo mwaka 2014 kwanzia  mwezi wa kwanza niliamua kufanya utafiti huu kwa kutumia wanaume kumi tu kwa muda wa miezi sita. Haikua kazi rahisi kwani ilibidi wafanye kazi hii kwa gharama zangu kwani ilibidi niwasimamie na wafanye kama navyotaka mimi.

Baada ya miezi sita matokeo yale yalinifanya nikubali mazoezi haya yanafanya kazi japokua kuna watatu waliacha njiani wale saba waliomaliza mpaka mwisho waliongezeka kwa sentimita 4 mpaka 6 urefu kila mtu na unene wa sentimita 4 mpaka  4.5..yaani baada ya utafiti huu wao ndio walionishukuru wakidai kwamba nimeokoa ndoa zao kwani mwanzoni walikua wazito sana kukubali kushiriki.

Baada ya hapo ndipo nilipokaa chini na kuanza kuandaa kitabu hichi kwanzia mwezi wa saba mwaka jana na kukikamilisha mwezi wa tano mwaka huu. Kitabu hichi sio kirefu sana ila kilinitaka akili nyingi na kuandika vitu vyenye ushahidi wa kweli sio kukurupuka tu, kwani unapofanya kitu kinachohusiana na maisha ya binadamu hasa eneo hilo lazima uwe makini sana.
Ni kweli watu wanatofautiana sana kimaumbile yaani kuna wengine wanawahi sana kupata matokeo na wengine wanachelewa kidogo lakini mwisho wa siku hakuna anyeambulia patupu.

TATIZO LA KUTOKUA NA UVUMILIVU..
Mazoezi haya yanatakiwa yafanyike mara nne mpaka tano kwa wiki sio chini ya miezi mitatu kwa kufuata kama nilivyoelekeza, wasomaji wengi hapa wanaona ni kawaida ila huenda wengi wenu mtaacha kabla ya muda huo.
Kupata dakika 20 mpaka 30 za kujifungia sehemu peke yako bila kubugudhiwa inaweza kua ngumu sana labda ufanye usiku sana au asubuhi mapema kabla watu hawajaamka labda kama unaishi peke yako.
Kumbuka katika kila mwanaume aliyefanikiwa kuna wengine walikata tamaa na kuacha ndio maana nilitoa mfano wa kubeba chuma hapo mwanzoni kwani mimi pia ni mshiriki wa mazoezi hayo ya kubeba vyuma yaani lazima uwe na moyo wa chuma.
 Mazoezi haya yanawezekana kwani kuna ambao tayari wamefanikiwa kwa mazoezi haya ya kuongeza maumbile, unene wa uume na nguvu za kiume.

CHAKULA
Wakati unafanya mazoezi haya jitahidi kula vyakula vya protini hata mara nne kwa siku kwani ndio mzizi mkuu wa ukuaji wa binadamu  yaani nyama, samaki, karanga,maziwa, korosho,dagaa na kadhalika…

MUDA WA MAZOEZI NA KUONGEZEKA KWA MAUMBILE..

  • Utaona mabadiliko ya nguvu za kiume wiki chache baada ya kuanza mazoezi haya na uume utaonekana mkubwa hata ukiwa umelala.
  • Mwezi wa kwanza tegemea kuongezeka uume kwa sentimita 1.5 na unene wa sentimita 1.5
  • Mwezi wa tatu tegemea kupata  sentimita 4 mpaka 6  za urefu na sentimita  3 mpaka 3.5 za unene.
  • Miezi sita utaongezeka zaidi ya hapo.
  • Urefu huo ni kutokana na data za  asilimia kubwa ya watu waliyoyafanya japokua kuna ambao watawahi zaidi kufanikiwa na wengine kuchelewa kidogo.

MWISHO; kitabu hichi kitauzwa kwa shilingi elfu ihamsini tu [50000] ambayo italipwa m pesa au tigo pesa kwa namba hizi mbili 0653095635 tigo 0769846183 vodacom kwa  wanaohitaji . Ukishalipa utatuma email yako kwenye namba hizo au nitumie email yako  moja kwa moja kwenye email yangu kalegamyehinyuye@gmail.com afu ntakutumia kitabu kikiwa kwenye mfumo wa soft copy au watsapp.

Kumbuka: usipoteze fedha zako kama hauko tayari kufanya mazoezi hayo kwa moyo wote  kwani mimi sio mganga wa kienyeji na utaishia kulaumu kama hauko tayari kujitoa, kumbuka gharama iliyotajwa hapo ni ya thamani ya maarifa na faida utakayopata sio kwa ajili ya karatasi za kitabu. no pain no gain.,,
                                             

                                  DR.  KALEGAMYE HINYUYE MLONDO

                                   MAWASILIANO 0653095635/0769846183

                                                            STAY ALIVE






Maoni 33 :

  1. Chapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.

    JibuFuta
  2. thanx dr. kama inawezekana toa ushauri jinsi mtu anaweza kujia joto halisi la kushuka kwa yai kwenye mji wa mimba. mana sometimes kunaweza kutokea slight changes mtu akajua kuwa tayari wakati bado. go deep then watu watajua

    JibuFuta
  3. Je kwass tulio dar tunavipataje vitabu maana tuna hitaji kunusulu ndoa zetu je na uwezekano wa kumpa mwanamke ujauzito utabaki palepale au

    JibuFuta
  4. Je mazoezi hayo yanafanyika uume ukiwa umesimama au umelala?

    JibuFuta
  5. Je mazoezi hayo yanafanyika uume ukiwa umesimama au umelala?

    JibuFuta
    Majibu
    1. Kama utaweza kuusimamisha uume wako uku unanyunyua chuma sawa ila kama huwezi endelea na mazoezi uume ukisimama utaona

      Futa
  6. Nimeipenda saana kazi yako doctor naahdi nami nitaifanyia kazi piaa nikimalza masomo tangy ya udactari nitaproof ukwel pia bt big up kwa step hiooo

    JibuFuta
    Majibu
    1. Vipi, ulifaniukif kusoma hicho kitabu?

      Futa
  7. Unge punguza being kidogo wekine vipato vyetu vya chino dct

    JibuFuta
    Majibu
    1. Punguza gharama doctor kulingana na kipato

      Futa
  8. Una nia ya Kusaidia, ila unatumia lugha za Kitaalamu ambapo inakua ngumu kwa ambao hatujapita katika fani hizo.

    Jinsi ya kufanya Mazoezi haya, eleza unatakiwa ufanye hivi na vile, kwa wakati flani, ila sio kutumia Slangs za Kibailojia, wengi tunashindwa elewa

    JibuFuta
  9. Uwizi tu huuu, chungeni matapeli

    JibuFuta
    Majibu
    1. Mm Ni MmoJa wa wAtu TuLofAnya hii PRoGram Na xx N Mwez Wa2 Na mAtokeo tAyaLi NShAyaona, yAan Ktu Cha KwaNza kAbxa UtAKaChoKiona N MiSuLi MiKubwa itAaNza KuJitoKeza haLaf Mboo itacmama kAm Jiti bAdae xx uRefu UtAona UtAona uNaoNgezeka

      Futa
  10. Je lazima kufanya mazoeze kwny shm za siri nikimaanisha uume kwan ukifanya mazoez yamwili mzima ila uume bili kuufanisha uume kwa kutumia viganja vya mikono uume kwn hauto ongezeka

    JibuFuta
  11. Badosijaerewa nimazoezigani yakufanya pushup ngumi kukimbia Jimu au mazoezigani

    JibuFuta
  12. Je tuelezee unafanyeje mazoez ya gm au kwenye uume?

    JibuFuta
  13. Paul
    Samahani naomba onyesha kwa vitendo mazoezi ya kuongeza uume

    JibuFuta
  14. Mmmmmh ciamim

    JibuFuta
  15. Daktari, unapatikana wapi mtu akitaka kukuona? Napenda nikuone nikukabidhi fedha mkononi kwa ajili ya hicho kitabu. Asante

    JibuFuta
    Majibu
    1. Nataman kujua jins ya kuneneoesh na kurefusha uume

      Futa
  16. Jarbu kitumia lugha rahisi ambayo tutaelewa kina sisi.pia ungeleza hatua kwa hatua jinsi yakufanya mazoez hayo

    JibuFuta
  17. Mm sijaelewa hayo mazoezi unafanyaje fanyaje naomba kuelekezwa

    JibuFuta
  18. Nataka kujua hayo mazoezi yanafanyuwje

    JibuFuta
  19. Punguza gharama 7bu tushatapeliw sana2

    JibuFuta
  20. ungefafanuwa kwa lugha ya kiswahili maana ndo lugha ambayo tunaelewa zaid

    JibuFuta
  21. Kuna Hawa wengine wanauza dawa za asili nyingi. Iink Yao hii dawa ya kurefusha uume na kuwa imara tumia Leo utanishukuru badae

    JibuFuta
  22. Hii n Biashara Ya kuuza Vitabu

    JibuFuta
  23. Life without money nothing

    JibuFuta
  24. Many people can't do for God blesing but for money is tóward

    JibuFuta