Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume ndani ya muda
mfupi ndio linaloongoza kwa matatizo ya wanaume kitaalamu kama male sexual
dysfuctions…tatizo hili linachukua asilimia 95% ya matatizo ya kiume katika
kujamiina na kushindwa kuwafikisha wapenzi wao kileleni..naomba niseme tatizo
la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume sio ugonjwa kama wengi wanavyodhani ila ni
hali ya kawaida kimaumbile yaani kama ufupi na urefu. huwezi ukajiita mgonjwa
kwa sababu wewe ni mfupi lakini kwasababu ufupi watu hawaupendi ndio maana watu
wanajitahidi kuvaa viatu virefu kila siku ili waonekane warefu… sawa na kuwahi
kufika kileleni sio ugonjwa ila kwasababu unakufanya usimfikishe mwenzako
kileleni inakua ni tatizo kwako lakini sio ugonjwa wewe ndio umeumbwa hivyo
kwani kuna wengine hawana hilo tatizo.
Matibabu ya tatizo hili niliwahi kuzungumzia kwamba njia
zinazoweza kukusaidia kapona kabisa tatizo hili ni njia za ambazo sio za dawa
japokua dawa inakusaidia mwanzoni kama wewe unafika mapema mno, kama hukuona
hiyo makala ya jinsi ya kujizuia isome hii hapa....KAMA WEWE MWANAUME UNA TATIZO LA KUFIKA KILELENI HARAKA KABLA MPENZI WAKO HAJARIDHIKA SOMA HAP
Lakini leo ntaenda kuzungumzia dawa ambazo zimethibitika
kufanya hii kazi kwa kupunguza msisimko mkali na kufanya hata mtu aliyekua
akienda kwa dakika moja kufika dakika kumi na moja na zaidi kama njia nilizotaja zilimshinda kutumia..
Watu wengi hudhani hawana nguvu za kiume kwasababu tu eti
akishafika kileleni hawezi kuendelea, ngoja nikuibie siri moja..wanaume wote
ukishafika kileleni mara ya kwanza lazima uume ulale yaani hiyo ni kawaida
kabisa na ukisikia mtu anasema yeye hua anaunganisha bila kusinyaa kidogo huyo
ni muongo mkubwa kwani hiyo ni hali ya kawaida wala sio ya kuogopa.
Tatizo ni nini?
Watu wengi wanaona
hii ni shida kwasababu anafika kileleni kabla mwenzake hajaridhika kisha
akigundua mwanamke hajaridhika anapaniki na kutaka kujilazimisha kusimamisha
uume ndipo hali inazidi kua mbaya zaidi.
Kitu cha msingi cha kujua ni kwamba usifike kileleni kabla mwenzako hajafika
ila ukiona mwenzako kafika na ameridhika basi na wewe malizia ili mpuzike wote
angalau kwa dakika kumi mpaka ishirini kabla ya kuendelea wote mkiwa mmeridhika.
Hapo utafurahia maisha ya mapenzi lakini ukiwa unajiwahi kila siku kama kuku
mpenzi utamuona mchungu.
HEBU TUZIANGALIE DAWA HIZI KWA MAKUNDI..
Dawa za ganzi za kupaka mfano lidocaine cream.
hii ni dawa ya ngazi
ambayo hupakwa sehemu zenye maumivu kupunguza maumivu..huko kwa wenzetu zipo
nzuri sana ambazo wanazitumia wakati wa kujichora tattoo bila maumivu.
Dawa hii hupunguza msisimko mkali kwenye uume kwa kuleta ganzi
kidogo na kufanya mtu achelewe kufika kileleni hata dakika 15 na zaidi.
Jinsi ya kutumia; paka kiasi cha lidocaine kwenye kichwa cha
uume dakika kumi na tano mpaka nusu saa kabla ya kukutana na mpenzi wako hii
itapunguza msisimko na kuchelewa sana kufika kileleni
.
.
Angalizo: Ukipaka dawa hii lazima uvae condom kwani ukiingia
bila condom utamfanya na mwanamke apate hiyo ganzi kidogo achelewe kufika na
mzigo mzito utakua juu yako.
Tube moja ya lidocaine cream kabisa inatosha kama kuanzia
baada ya mwezi unaweza endelea na njia za asili nilizoonyesha kwenye link hapo juu au kuendelea na dawa mpaka utakapoona unaweza kuendelea bila dawa.
Dawa za kutibu mgandamizo mkubwa wa mawazo mfano paroxetine
; dawa hizi hutumika sana kwa watu wenye msongo sana wa
mawazo lakini zimegundulika kusaidia sana mtu kufika kileleni hadi dakika 15 saa na
zaidi mfano paroxetine. Jinsi ya kutumia, meza kidonge kimoja cha paroxetine
masaa manne mpaka sita kabla ya kukutana na mwanamke na utaona mabadiliko
makubwa. Dawa hii haiihitaji kuvaa au kutovaa condom na vidonge 30 vinatosha
kuanzia baada ya mwezi unaweza endelea na njia asili nilizokunyesha kwenye link hapo
juu au kuendelea na vidonge mpaka utakapoona uko vizuri bila vidonge.
Dawa za maumivu mfano vicodin;
Hizi ni dawa zinazotibu aina Fulani ya maumivu makali,
utafiti ulofanyika umegundua kwamba pamoja na kutibu maumivu makali dawa hii
ina uwezo wa kuzuia mtu kufika kileleni kwa zaidi ya dakika kumi na zaidi.
Matumizi yake; meza vidonge viwili vya vicodin masaa saa
moja au mawili mpaka matatu kabla ya tendo la ndoa na itakuchukua mda mrefu sana
kufika kileleni na utafurahia maisha yako ya kimahusiano na vidonge 50 vinatosha
kabisa kama dozi ya kuanzia na baada ya mwezi endelea na njia za asili nilizotaja kwenye hiyo link hapo juu au endelea na vidonge mpka utakapokua tayari na kuendelea bila vidonge.
Onyo; kama wewe ni mnywaji wa pombe usiguse kabisa dawa hii
ni hatari ikichanganyikana na pombe huweza kuleta madhara makubwa sana ya
kiafya ikiwemo kupoteza fahamu na degedege.
Mwisho: kama una dukuduku unaweza kuingia mtandaoni google dawa hizo mfano ’paroxetine for pre
mature ejaculation’ili ujiridhishe kabla ya kununua. Uzuri wa fani hii hakuna
siri kila kitu kipo wazi na ukitaka unahakikisha mtandaoni. dawa zote nilizotaja hapo juu zinapatikana
kwenye maduka ya madawa na zimethibitishwa na madaktari bingwa wa fani hiyo
kufanya hiyo kazi.. lakini dawa hizi ni
adimu sana na ghali [sio chini ya elfu hamsini kwa dose ya kutosha mtu mmoja] kuzipata
yaani unaweza usizipate kabisa lakini zipo. Lakini ukikosa kabisa wasiliana na
sisi tunaweza kujua jinsi ya kukusaidia hata ukiwa mkoani..
Wakati mwingine sio kila dawa inafanya kazi kwa mtu Fulani,
unaweza ukakuta dawa moja kati ya hizo ndio ikakufaa zaidi kuliko zote hivyo
kama ukinunua moja isikufae vizuri jaribu nyingine.
Kumbuka dawa hizi hazitumiki milele na milele ni za muda tu
hivyo nakushauri uzitumie huku unajiweka sawa na zile njia za asili
nilizokuonyesha kwenye link hapo juu kwani ukiziweza zile njia
umemaliza kazi. nakutakia maisha mapya baada ya somo hili.
STAY ALIVE
DR. KALEGAMYE HINYUYE MLONDO.
DR. KALEGAMYE HINYUYE MLONDO.
MAWASILIANO 0653095635/0769846183