Karibuni ndugu wasomaji katika blog yetu ya siri za afya
bora katika muendelezo huu wa makala za kutujenga kiafya..makala mbili
zilizopita niliongelea kuhusu madhara na jinsi ya kuacha punyeto, nilipokea
simu nyingi sana za watu waliokiri wameathirika sana na tatizo hilo na wakataka
kujua jinsi gani wataondokana na adha hiyo… Wengine niliwapa ushauri tu na
wengine niliwapa matibabu ya chakula, mazoezi na dawa na kwa sasa wananipigia
na kukiri kwamba wameacha punyeto na kupona kabisa madhara ya kupungukiwa nguvu
za kiume yaliokua yakiwasumbua kutokana na tabia hiyo.
Hiyo ni furaha kwangu kuona kwamba kazi nayofanya inasaidia
watu na nguvu zangu hazipotei bure, na ninamshukuru mungu sana kwa hilo. Leo
ntaongelea matibabu ya nguvu za kiume kwa watu walioathirika na punyeto ili na
wengine ambao hawakupata matibabu yangu wafaidike kama ifuatavyo.
Hakikisha umeacha punyeto kabisa: ili upone tatizo hili
hutakiwi kua mtu wa kubadilika mawazo hovyo, kama umeamua kuacha basi acha
kabisa na futa kichwani kwako. Jisemee moyoni kwamba mimi Fulani nimeacha tabia
hii na sitarudi nyuma. Kama wewe ni mtu wa imani shika kitabu kitakatifu kabisa
kulingana na imani yako.
Amsha mfumo wako wa fahamu na mzunguko wa damu sehemu za
siri; hii tunaiita booster, kuna virutubisho tunatoa kwa mwezi mmoja ili kushtua nguvu za
kiume zilizokua zimepungua kwa kuongeza msukumo wa damu nyingi kwenda sehemu za siri, kuongeza stamina, mbegu na nguvu za kiume maradufu kutokana na madhara haya ya punyeto kisha ataendelea staili ya maisha safi yaani chakula kinachoongeza nguvu za kiume kama karanga, korosho, kitunguu swaumu na ndizi mbivu, mazoezi angalau kuruka kamba na kukimbia mara tatu au nne kwa wiki na kua sawa kama zamani.. virutubisho hivyo ni vya asili havina kemikali hata kidogo.{unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba yangu hapo chini kupata dawa hii kama unahitaji, dozi ni shilingi laki moja tu.
Mazoezi: kama wewe ni mtu unayeishi bila mazoezi kabisa
hutaweza kurudisha nguvu hizo, hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau
nusu saa kwa siku. Inaweza kua kuruka kamba, push ups, kukimbia, kuogelea na
kadhalika. Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa damu ue mzuri na wewe
usimamishe uume vizuri. Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani yatakumaliza
nguvu za kiume.
Kula chakula bora cha asili; vyakula vya viwandani vina
kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi
cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana
mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula ugali, maharage, viazi, maziwa
mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila
punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.
Kunywa maji mengi sana; kusimama vizuri kwa uume kunategemea
sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi ni rahisi
damu kwenda vizuri kwenye uume. Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa
sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa
kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana
nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu
iende kwenye uume. Upe mwili sababu za kupeleka damu ya ziada kwenye uume wako
kwa kunywa maji mengi.
STAY ALIVE
DR KALEGAMYE HINYUYE MLONDO.
DR KALEGAMYE HINYUYE MLONDO.
MAWASILIANO 0653095635/0769846183[tuma meseji tafadhali]
Ushauri wako mzuri sana doctor
JibuFutaMia mia kiomgozi!!
JibuFutaMia mia kiomgozi!!
JibuFutaunapatikana wapi?
JibuFutamm ni mwasirika kwahili jambo
JibuFutaNoted. Thankx doctor
JibuFutaMm no muasirika kwa hili Jambo nishajitahidi sna illa
JibuFutaNashukuru sana naaminini nitasaidika ila nko na swali
JibuFutaOK kwa majina naitwa peter na tokea kenya na swali ni hili labda kuna faida yoyote ile ya kujichua
JibuFutaOK sawa labda kuna faida yoyote ya kujichua
JibuFutaNmeuliza labda kuna faida yoyote ya kujichua
JibuFutaNa ni ulize wanaume wanatumia madawa kama viagra salama kweli kwa afya
JibuFuta