data:post.body HAYA NDIO MADHARA 11 YA KUPIGA PUNYETO…..{ MASTURBATION} ~ SIRI ZA AFYA BORA...

Recent Posts

HAYA NDIO MADHARA 11 YA KUPIGA PUNYETO…..{ MASTURBATION}




Punyeto ni nini?
Hii ni tabia ambayo mwanamke au mwanaume anajichua sehemu za siri ili kufika kileleni, mara nyingi kitendo hiki hufanyika na muhusika akiwa peke yake chumbani au bafuni.
Wahanga wengi wa tabia hii ni wanaume kwani huanza katika umri mdogo sana kwasababu ya uoga wa kufuata wasichana na kuangalia video za ngono ambazo huwasukuma kufanya vitendo hivi..
Lakini punyeto huambatana na madhara makubwa ya kijamii na kiafya na leo tutaangalia madhara hayo kumi ya punyeto..
  uchovu; baada ya kujichua watu wengi husikia uchovu mkubwa na kupitiwa na usingizi, hii inaweza kuathiri uwezo wako wa kazi au masomo na pia kama wewe unajichua kila siku basi muda mwingi utakua mlegevu tu.
hupoteza nguvu za kiume; somo la nguvu za kiume ni pana sana, yaani sababu za kupoteza nguvu za kiume hua ni nyingi ni lakini inapokuja kwenye punyeto mara nyingi mfanyaji hupoteza hamu ya tendo la ndoa yaani muda wote amaeridhika tofauti na watu ambao hawafanyi tendo hili ambao muda mwingi wanakua na uchu, lakini pia matumizi ya mikono migumu huweza kukuumiza na kuharibu mishipa ya fahamu inayoenda kwenye uume.
utasa wa muda kwa wanaume[temporaly sterility]; punyeto hupunguza sana kiasi cha mbegu kinachopatikana kwenye korodani, mtu anayejichua sana inafika hatua anatoa mbegu kidogo sana ambazo zinakua hazijakomaa kumpa mwanamke mimba.
kusahau sana; watu wengi wanaopiga punyeto wana tatizo la kusahau vitu vodogo vidogo yani short term memory yaani anaweza kuweka simu mezani afu akasahau ameiweka wapi, haifahamiki chanzo kikuu ni nini lakini madhara haya yameonekana wa wahanga.
kumwaga mbegu haraka[premature ejaculation]; watu wanaojichua mara nyingi hutumia muda mfupi sana ili kukidhi haja zao na kuendelea na mambo yao, ukizoea hali hii utamwaga haraka sana siku ukikutana na mwanamke halisi.
hali hii ni mbaya na hutia aibu kwani hutaweza kumridhisha mwanamke yeyote.
msongo wa mawazo; watu wanaopiga punyeto hua wana akili moja, hudhani kwamba leo wanafanya mara ya mwisho na hawatarudia tena, kitu ambacho sio kweli.
mara nyingi hujikuta wanarudia na kujuta sana baada ya kufikia mshindo.
utumwa(addiction); ukishaanza punyeto sio rahisi kuacha japokua inawezekana, muhanga hawezi kukaa muda mrefu asu siku nyingi bila kujichua na ili akili yake ikae sawa itabidi aende sehemu ajichue ili aweze kua kawaida..
huharibu mahusiano; punyeto huweza kufanya wapenzi kutokua na hamu ya kingono kabisa baina yao, kwani kila mtu anajiridhisha kivyavyake.
kutokuwepo na mahusiano mazuri ya tendo la ndoa ni moja ya sababu kuu ya kuharibika kwa mahusiano mengi.
uoga wa kutongoza; wanaume wanaojichua hawajiamini hata kidogo hivyo kusimama na kumfuata msichana ni ngumu sana sababu hawana kiu kubwa sana ya kua na mwanamke, hii ni kwasababu wanaweza kujitosheleza wenyewe.
huchochea mapenzi ya jinsia moja; mara nyigi wanawake hutumia vifaa mbalimbali kujichua, sehemu ambazo wanaishi wanawake watupu kama shule za wasichana vifaa vile inabidi vivaliwe na msichana mmoja ili kumsaidia mwenzake na hapo ndipo wanaanza kutamaniana na kuanza mahusiano ya kudumu.
ajali wakati wa kujichua; hasa upande wa wanawake na mashoga, siku hizi kuna ajali nyingi ambazo hutokea wakati wa tendo hili la kujichua hasa pale vifaa ambavyo sio rasmi kama ndizi, tango, au chupa zinapokataa kutoka ndani ya uke au sehemu ya haja kubwa. hali hii huweza kuhitaji upasuaji mkubwa kundoa vitu hivyo.
kama umeshindwa kabisa kuacha punyeto soma hapa...http://www.sirizaafyabora.info/2014/11/hizi-ndio-njia-saba-za-kuacha-punyeto.html
Mwisho: acha punyeto na uanze maisha mapya kiakili, kimwili na kiroho na acha kusema hii ndio punyeto ya mwisho sitarudia tena,  acha mara moja…
                                   

                                  MAWASILIANO 0653095635/0769846183
                                 
                                                                STAY ALIVE 

                                       DR.KALEGAMYE HINYUYE MLONDO

Maoni 7 :

  1. Hiii nzuriii
    Ila jee ni njia zip sahihi za mtu alyekua adicted na punyeto kuweza kuacha

    JibuFuta
  2. nashukuru kwa swali lako..makala ijayo itaongelea jinsi ya kuacha punyeto. endelea kusoma blog hii uelimike zaidi.

    JibuFuta
  3. Je mtu anapo acha mtindo huo vip nguvu zake uwa anarud kua fiti au ndo ivo ivo mpak mwisho?? Ebu tueleweshe man

    JibuFuta
  4. to be honnest inatesa sana n unavosema mtuu aache unaweza fikili n rais but not..


    JibuFuta
  5. Kwa ushauri na njia za kupunguza na hatimaye kuacha kabisa kuangalia picha za porngraphy na kupiga punyeto au masterbation kwa vijana wenzangu na pia namna ya kurudisha nguvu za uume zilizopungua kwa tiba ya vyakula, please tuwasiline #usharinasaha18@gmail.com

    JibuFuta
  6. yaani kama mimi ndio inanitesa sana punyeto sio rahisi kuacha

    JibuFuta
  7. Mungu akubariki sana kwa kuielimisha jamii daktari

    JibuFuta