maumivu ya kichwa ni hali
inayosumbua watu wengi kwa sasa, hii ni kutokana na kuongezeka kwa magonjwa
ambayo yanakuja na dalili za kichwa kuuma, uchovu wa kila siku, hewa nzito ya
carbon dioxide na kelele nyingi za viwandani na magari.
Baadhi ya magonjwa na tabia zinayosababisha kichwa kuuma ni
kama zifuatazo.
· Utumiaji wa madawa ya kulevya na pombe.
· Magonjwa ya macho mfano
refractive errors
· Magonjwa ya ubongo mfano i.e meningitis
· Uvimbe ndani ya ubongo i.e brain tumour
· magonjwa ya mifupa ya usoni i.e sinusitis
· cervical
degenerative osteoporosis i.e magonjwa ya mifupa ya uti wa mgongo
· magonjwa ya moyo i.e presha ya damu
· mgandamizo wa mawazo.
Matibabu ya kiasili
Kutibu chanzo yaani ugonjwa
uliosababisha kichwa kuuma ndio njia bora ya kutibu maumivu ya kichwa.
Kama chanzo cha maumivu ya kichwa
hayafahamiki njia zifuatazo zinaweza kutibu dalili na kupunguza maumivu hayo.
·
Kukandwa na kutomaswa na maji ya
moto nyuma ya shingo.{ hot compresses and massages.}
·
Kula chakula kisicho na nyama na
chenye chumvi kidogo sana.{ vegetarian diet}
·
Weka kitambaa cha maji ya uvuguvugu
kwenye paji la uso kuongeza mzunguko wa damu.
·
Tembea sehemu yenye uwazi mkubwa na
hewa ya kutosha.
·
Fanya mazoezi ya kuogelea.
·
Ungea na daktari au mwanasaikolojia
ambaye anaweza kuatambua ugonjwa wa akili ambao unasababisha maumivu hayo.
·
Pata mda mrefu wa kupumzika na
kupata usingizi wa kutosha.
Matibabu ya dawa za kisasa.
Unaweza kutumia dawa ya maumivu kama
diclofenac, paracetamol, ibuprofen na kadhalika pale maumivu yanapokua makali
sana.bonyeza haya maneno ya kijani kusoma zaidi.
SECRETS OF GOOD HEALTH
STAY ALIVE
MAWASILIANO 0769846183/0653095635
DR. KALEGAMYE HINYUYE MLONDO.
MAWASILIANO 0769846183/0653095635
DR. KALEGAMYE HINYUYE MLONDO.
Thank you, am passing through the same problem but what I think is that it will end soon because God is with me.
JibuFutaThe simple things is for u to pray The all mighty to help u
JibuFutaAsantesana doctor minazani Ata uchawi Pia niSabAbu sasa inabidi kumuomba M.Mungu kwasana
JibuFuta