hii ni aina ya kansa inayoshambulia sehemu ya chini kabisa ya mfuko wa uzazi{cervix}, ambayo ni kama mlango ambao hufunga kabisa mwanamke anapokua mjamzito ili kuzuia mimba isitoke.
kama picha inavyoonyesha hapo juu.{ mlango wa uzazi mzima kushoto na na ulioathirika kulia}
nini chanzo cha kansa hii?
hii ni kansa ambayo hushambulia wanawake ambao tayari wamekomaa kushiriki tendo la ndoa hasa wale ambao wako kwenye makundi hatarishi yafuatayo.
- walionza kushiriki tendo la ndoa kwenye umri mdogo i.e chini ya miaka 18
- magonjwa ya zinaa i.e kirusi kiitwacho kitaalamu kama human papiloma virus ni moja ya vyanzo vikuu vya ugonjwa huu.
- wanawake wenye mahusiano ya kingono na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
- uvutaji wa sigara
- kushiriki kingono na wanaume ambao hawajatahiriwa.
- wanawake waliozaa watoto wengi: mfano watoto 6 na zaidi.
- wanawake ambao kinga zao zimeshuka i.e kinga huweza kushuka kwa magonjwa mfano ukimwi na kisukari au lishe duni.
SECRETS OF GOOD HEALTH
MAWASILIANO 0653095635/0769846183
DR. KALEGAMYE HINYUYE MLONDO
Hizo dawa hazina madhara kwa mtumiaji na mtoto atakayezaliwa hizi CLOMIPHENE CITRATE
JibuFuta